Walio Hewani: Wanachama 0 | Wageni: 7 |Wanachama Wote: 623 | Tumeshalipa: Tsh 0.00 | Baruapepe ktk Foleni: 0 | Mabango: 12 | Ya Kubofywa: 3


Hisapepe Kituo Cha Msaada - Maswali Ya Mara Kwa Mara ya Wanachama

SUBIRI! TAFADHALI IELEWE KWANZA HISAPEPE KABLA HUJAENDELEA...HISAPEPE NI NINI?

hisapepe.com ni tovuti ya kawaida kabisa kama yoyote uijuayo. Ukiwa Yahoo! kwa mfano huwa unaona matangazo na unaweza kupokea barua pepe toka kwao zikikuelezea huduma zao. Matanngazo uyaonayo ukiwa yahoo yamelipiwa na wadhamini, Yahoo! inatengeneza pesa toka kwa hawa wafadhili na wanatumia pesa hiyo kukupatia wewe huduma ya bure kabisa ya barua pepe. Ni mtindo wa faida kwa wewe na wao kwa kuwa bila wewe wasingepata hayo matangazo na bila hayo matangazo wewe usingepata hiyo huduma ya bure ya barua pepe. Hisapepe.com imesimamia karibu jukwaa la mtindo huo huo ila pesa toka kwa wadhamini/watangazaji wetu badala ya kukupatia huduma ya bure ya barua pepe tunakupatia fedha hii wewe mwanachama. TUNAWATOZA WADHAMINI/WATANGAZAJI NA KUGAWANA MAPATO NA WEWE. HAKUNA CHA ZAIDI. Utapokea matangazo unayochagua na pia utashiriki kujaza dodoso (questionnaires) za utafiti mbalimbali na tutakulipa kwa hayo yote kadiri tunavyowatoza watangazaji/watafiti/wadhamini.

KITUO CHA MSAADA HISAPEPE.COM

Utapata msaada kwa njia tatu

Kwanza Maswali ya Mara Kwa Mara ambayo yanabeba majibu mengi juu ya hisapepe.com

Pili ni Ni kitabu cha jinsi ya kutumia hisapepe.com

Na tatu ni kuweza kuwasiliana na kituo chetu cha huduma kwa mteja moja kwa moja

BOFYA HAPA KUPITIA KITABU KINACHOIELEZEA HISAPEPE.COM KILA MENYU

BOFYA HAPA KULONGA MOJA KWA MOJA NA MHUDUMU WETU AMA KUACHA UJUMBE

Hapa chini ni maswali ya mara kwa mara Bofya/bonyeza swali ili upate jibu, bofya tena kuficha jibu

  1. Hisapepe.com inapatikana katika lugha ngapi?

  2. Ninaishi nje ya Tanzania, naruhusiwa kujiunga?

  3. Wakenya na Waganda majirani zetu, mmetujali pia?

  4. Hisapepe kama kampuni yenyewe inapataje pesa?

  5. Inafanyaje kazi? Ninapataje pesa kwa kuangalia tu matangazo?

  6. Kuna njia ngapi tofauti za kupata pesa nikiwa hisapepe?

  7. Nnaweza kupata pesa kiasi gani kwa kujiunga hisapepe?

  8. Mara ngapi naweza kubadili neno langi la siri (password?)

  9. Ninatumia Web-Tv ninaweza kujiunga pia?

  10. Ninaweza kununua bidhaa kuwa kutumia salio la akaunti yangu ya hisapepe?

  11. Kwanini naulizwa namba ya simu yangu ya mkononi?

  12. Sipati ujumbe wa kufanikiwa kujiunga, kwanini?

  13. Ndio nimejiunga – Inachukua muda gani kuidhinishwa?

  14. Nimeshajiunga ila sipokei matangazo yoyote, kwanini?

  15. Kuna namba ya huduma kwa mteja naweza kupiga ili kuwasiliana na kituo cha huduma nikitatizwa na akaunti yangu

  16. Nikibadili namba yangu ya simu niliyojiunga nayo kupokelea malipo hisapepe inakuwaje?

  17. Naruhusiwa kuwa na akaunti zaidi ya moja?

  18. Ninaingiaje katika akaunti yangu ya hisapepe?

  19. Ninashindwa kuingia, kwanini?

  20. Akaunti yangu ya hisapepe inaisha muda wake au kufungwa baada ya muda?

  21. Kwanini akaunti yako imesimamishwa?

  22. Ninabadili vipi taarifa zangu nilizojaza hisapepe.com?

  23. Ninawezaje kusitisha upokeaji wa ujumbe/baruapepe toka hisapepe.com?

  24. Ninasitishaje akaunti yangu?

  25. Ninapata pesa kiasi gani kwa kushiriki hisapepe?

  26. Ninalipwaje?

  27. Ninaweza kutoa pesa mara ngapi katika akaunti yangu?

  28. Kuna gharama/makato nikitaka kuchukua pesa yangu

  29. Ninaweza kuchukua pesa yangu wakati wowote

  30. Ninajuaje salio langu la hisapepe?

  31. Wakati gani naweza kuomba malipo?

  32. Ninajuaje historia ya miamala yangu (rekodi ya kazi nilizofanya na kulipwa hisapepe.com)

  33. Nitaombaje Kulipwa?

  34. Inachukua muda gani kulipwa?

  35. Nitalipwa na Akaunti zipi?

  36. Hisapepe kuna siku wataniomba niwatumie neno langu la siri?

  37. Msaasa wa Moja Kwa Moja ndio nini?

Rudi Juu | Ukurasa Unaofuata wa Maswali>>

Hisapepe muuzaji rasmi wa bidhaa na huduma za Scripts-R-Us. Tovuti Scripts-R-Us
Swahili English