|
hisapepe.com
Tunaheshimu Faragha Yako
Taarifa Zinazochukuliwa:
hisapepe.com
Tumeandika Ilani hii ya Faragha kuonesha ni namna gani kampuni yetu inachukulia kwa umakini sana, tunarudia, kwa umakini sana suala zima la usiri wa taarifa zako kulinda faragha yako.
hisapepe.com
inatumia anuani yako ya IP kwa madhumuni ya kugundua matatizo yanayowekza kuwepo katika 'servers' zetu na kuiongoza hii tovuti. Anuani yako ya IP inatumika kukusanya taarifa za undani za kidemografia tu.
hisapepe.com
inatumia 'cookies' kukufikishia vitu vinavyoendana na upendeleavyo, kuhifadhi neno lako la siri pale unapoamua kutotaka kuingiza neno la siri kila mara unapoingia katika tovuti yetu na kwa sababu nyingine.
Fomu ya kujiunga na hisapepe.com
inamhitaji anayejiunga kutupatia taarifa mbalimbali (kama anuani, anuani ya barua pepe, namba ya simu).
hisapepe.com
inatumia anuani hizi kumfahamisha mwanachama tarifa kuhusu kampuni yetu na matangazo ya kupitia barua pepe.
Wanachama wanaweza kujitoa kupokea barua pepe, tazama kipengele cha kujitoa katika orodha ya kupokea barua pepe hapa chini.
Taarifa za kidemografia (umri, jinsia n.k) pia huchukuliwa na tovuti yetu hii. Taarifa hizi tunazitumia kuongozea uzoefu wa wanaoitembelea tovuti hii, tunawapatia vitu ambavyo tunadhani vinaweza kuwa vina mvuto kwao, na kuonesha vitu kwa kuzingatia mapendekezo yao. Tunakusanya taarifa binafsi zisizo za kimtandao kwa madhumuni hayohayo haswa katika suala zima la KULIPA Wanachama mapato yao wanayoyavuna katika tovuti yetu. Tovuti hii ina anuani viungo (links) zinajiunga na tovuti nyingine.
hisapepe.com
haiwajibiki na Ilani Za Faragha za tovuti hizo wala kilichomo katika tovuti hizo pia.
hisapepe.com
Inatumia fomu ya Kujiunga kwa wanachama na watangazaji/wadhamini wapya. Fomu hii inakusanya taarifa za anuani (jina, barua pepe, namba ya simu n.k) ili kuwasiliana nao haswa pale inapobidi. Wanachama/Watangazaji/Wadhamini wanaweza kujiondoa katika kupokea mawasiliano yoyote, angalia kipengele cha kujitoa hapa chini.
Mijadala Ya Wazi:
hisapepe.com
, huko mbeleni, inaweza kufanya vyumba vya kulongea (chat rooms), jukwaa la mijadala (forums), ubao wa ujumbe (message boards), na/au makundi ya habari
kuwa vinapatikana kwa watumiaji wake. Tafadhali kumbuka kuwa taarifa zinazowekwa kwenye hizo kumbi, ubao na mijadala huwa zinaonekana na wanachama/wasio wanachama na hivyo basi jizoeze kuwa makini na kuchukua tahadhari kufanya maamuzi usitoe ovyo taarifa zako binafsi.
Usalama:
hisapepe.com
imeweka kanuni zote za kiusalama kuzuia upotevu, matumizi mabaya au kubadilishika kwa taarifa tunazozishikilia. Jiamini upo katika mikono salama.
Mwongozo Kwa Watoto Wadogo:
Hatuchukui taarifa za kimtandaoni toka kwa watoto bila usimamizi au ufahamu wa wazazi wao, ambayo itahusisha nafasi ya mzazi kumwepusha mwanae kutumia au kushiriki masuala asiyoyaruhusu. Bila ufahamu au ruhusa ya mzazi, taarifa za watoto wadongo zitakazoletwa kweru zitatumika tu kuwajibu maombi yao (watoto) na hazitatumika kwa matumizi mengine yoyote bila ruhusa ya mzazi.
Kwa taarifa zisizo za kimtandao hatutakusanya bila kuwa na ruhusa ya mzazi kwa mwanae. Kamwe hatuwapatie washiriki au yeyote nje yetu taarifa zinazofahamika kama binafsi za wanachama wetu.
Hatutoi uwezekano wa kuanika katika umma/kadamnasi au au kugawa taarifa zinazofahamika kama binafsi. Hatushawishi kwa namna yoyote ile iwe kwa mchezo maalumu, zawadi au ujanja mwingine kutoa taarifa za binafsi zaidi ya zile taarifa unazo jaza katika fomu ya kujiunga (ufafanuzi: yaani hatuwezi kukutumia ujumbe tunaomba tupatie kitu fulani ati ili uendelee na uanachama, kamwe)
Chaguo La Kujitoa:
hisapepe.com inakupa uhuru na nafasi ya kujitoa ili usipokee mawasiliano yoyote toka kwetu, pale tunapoomba taarifa toka kwa mtembelea tovuti yetu.
hisapepe.com inawapa watumiaji njia zifuatazo ya kuondoa taarifa zao katika takwimu zetu ili wasiwe wanapokea mawasiliano tena toka kwetu au kupokea huduma zetu. Ingia katika akaunti yako na kisha bofya "Wasifu Wako" (menyu zilizo kushoto). Chini kabisa utaona sehemu ya kujitoa. Pia unaweza Kuwasiliana Nasi na kuomba uanachama wako usitishwe.
Sahihisha/Boresha Wasifu Wako:
hisapepe.com inakupa uwezo wa kubadili na kuboresha taarifa zako ulizotupatia ulipojiunga. Hii ina umuhimu sana maana huwa mambo yanabadilika nawe unabadilika na hata mapendekezo yako hubadilika. Wanachama wanaweza kuingia na kubofya menu ya "Wasifu Wako" na wataboresha taarifa zao au undani wao. Wasilina nasi kama una swali lolote kuhusu hii Ilani Ya Faragha, utendaji mzima wa tovuti yetu, na matendo yoyote uyaonayo hapa
hisapepe.com , Unaweza Kuwasiliana Nasi
Ilani Hii Ya Faragha ni Tafsiri ya Privacy Policy yetu toka lugha ya kiingereza. Inapotokea mkanganyo kwa sababu ya tafsiri basi itazingatiwa ile ya kiingereza. Unaweza Kuisoma hapa |